Sunday, January 15, 2012

Rais Jakaya Kikwete Aifariji Familia,Ndugu Jamaa na Marafiki wa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA)Marehemu Regia Mtema Jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda,Spika Anne Makinda na Waheshimiwa Mbalimbali walikuwepo
Rais Jakaya Kikwete akitoa mkono wa pole kwa waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe walikuwapo,wa Pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Tundu Pinda
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (Kulia)muda mfupi baada ya kuwasili Rais Jakaya Kikwete na kujiunga na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda(kushoto) na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe walikuwapo.
Rais Jakaya Kikwete akijiunga na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe(wa tatu kulia)alikuwapo.
Picha na IKULUNo comments: