Wednesday, January 11, 2012

RAIS JAKWAYA KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI TAFRIJA YA MWAKA MPYA - SHERRY PARTY, IKULU

Rais Jakaya Kikwete akiongea na mabalozi aliowakaribisha katika tafrija ya Mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na mabalozi katika tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam jana
Picha na IKULU

No comments: