Saturday, January 21, 2012

Rais Kikwete akiongoza hafla ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jeremiah Sumari viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo

Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho.
Rais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari
Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika hafla hiyo
Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kwenye hafla hiyo.
Picha na Ikulu.

No comments: