Saturday, January 7, 2012

Rais Shein afungua jengo la bodi ya mapato

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akikunjua pazia kuashiria kufungua rasmi jengo la Bodi ya mapato Zanzibar hafla hiyo ilifanyika huko Mazizini mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi na Wazee walioalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein jana.
Baadhi ya Mabalozi na Viongozi walioalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiuliza swali kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mapato Zanzibar, wakati wa uzunduzi wa jengo la Bodi hiyo huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra ya miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Na Hamad Hija MAELEZO ZANZIBAR

No comments: