Friday, January 20, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Mabalozi Wapya Walioteluliwa na Kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete Hivi Karibuni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mabalozi wapya walioteluliwa na kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete hivi Karibuni. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwak jijini Dar es salaam Januari 202012. Kushoto kwake ni Dkt. Batilda Burian-Kenya na Ali Saleh-Oman. Kulia kwake ni Philip Marmo-China, Dkt. Ladislaus Komba- Uganda, Shamim Nyanduga- Msumbiji na Grace Mujuma- Zambia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya walioteuliwa na kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake jijini Dar es salam Januari 20, 2012. Kutoka kulia ni Dkt. Batild Burian- Kenya, Philip Marmo- China, Shamim Nyanduga- Msumbiji, Dkt. Ladislaus Komba - Uganda, Mohamed Hamza - Misri, Grace Mujuma, Zambia na Ali Saleh - Oman. 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


No comments: