Tuesday, January 24, 2012

WAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA JERIMIAH SUMARI.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Marehemu Jeremiah Sumari katika mazishi ya mbunge huyo Akeri, Arumeru Januari 23, 2012..


Waombolezaji wakitremsha kaburini mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki Jaeremiah Sumari katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Akeri, Arumemru, Januari 23, 2012.


Miriam Sumari, mke wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jeremiah Sumari akweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe katika mazishi yaliyofanyika Akeri, Arumeru, Januari 23, 2012.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: