Friday, January 20, 2012

Waziri wa habari Dk.nchimbi akutana na kamati ya bunge

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Vijana, James Kajugusi akifafanua jambo leo (jana) kuhusu mkataba wa Vijana wa Afrika kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kwenye ukumbi wa mkutano wa Wiizara ya Maendeleo ya Jamii . Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Sihaba Nkinga na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ,Dk.Emmanuel Nchimbi(katikati) akiwa pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kwenye ukumbi wa mkutano wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, wakati wa kujadili mkataba wa Vijana wa Afrika leo (jana).PICHA NA MAGRETH KINABO - MAELEZO
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ,Dk.Emmanuel Nchimbi(katikati) akifafanua jambo kuhusu mkataba wa Vijana wa Afrika kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kwenye ukumbi wa mkutano wa Wiizara ya Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto leo (jana). Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Sihaba Nkinga na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Juma Nkamia

No comments: