Friday, February 17, 2012

JK AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA KILIMO DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mawaziri wa kilimo wa nchi saba za Afrika baada ya kufungua mkutano leo, katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es salaam. Nyuma ya Rais Kikwete ni kamishna wa Maendeleo vijijni na Kilimo wa Umoja wa Afrika Bi Rhoda Tumussime.

No comments: