Monday, February 13, 2012

KIKAO CHA NEC CCM CHAMALIZIKA LEO MKOANI DODOMA


Mwenyekiti
wa CCM, Rais Kikwete akiwasili ukumbini kuenesha kikao cha Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM jana kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya
CCM mjini Dodoma. Kushoto Mwenyekiti wa CCM Mstaafu Ali Hassa Mwinyi,
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Sheni na Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Zanzibar) Amani Abeid Karume. Kulia ni makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.

Mwenyekiti
wa CCM, Rais Kikwete akisisitiza jambo kwenye kikao hicho. Kushoto ni
Rais wa Zanzibar Dk. Sheni na Makamu Mkt (Zanzibar) Amani Karume
Kikwete, Mukama na Msekwa wakifurahia jambo kikaoni
Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara wakiunga mkono marekebisho ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa na NEC
Rais Kikwete, Mukama na Msekwa wakiunga mkono marekebisho ya Katiba ya CCM

Wajumbe wa Zanzibar wakiunga mkono marekebisho ya Katiba mpya ya CCM
Rais Kikwete akijenga hoja katika mkutano huo
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Ali Hassan Mwinyi akifurahia jambo wakati wa kikao cha NEC mjini Dodoma juzi
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodo,ma kuhusu yaliyojiri kwenye kikao hicho (Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments: