Tuesday, February 14, 2012

Kutoka Zanzibar:Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati Unguja
Mshindi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Uzini, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Mohammed Raza, akiwaonesha waandishi na wananchi cheti cha kuthibitishwa kuwa mshindi wa uchaguzi huo.


Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kati, Mussa Ali Juma, akimkabidhi hati ya ushindi Mshindi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza, baada ya kutangazwa matokeo.


Wagombea wakifuatilia matokea ya kura yakisomwa na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja, katika Ukumbi wa Ofisi ya Wilaya ya Dunga.


Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kati Mussa Ali Juma, akitowa matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Uzini, baada ya kumaliza zoezi la kuhesabu kura katika ukumbi maalum ulioandaliwa na kuwajumuisha Wagombea na Wananchi mbalimbali.


Mgombea wa CHADEMA Ali Mbarouk Mshimba, akitowa shukrani kwa Wananchi waliompigia kura, baada ya kutangazwa mshindi katika ukumbi wa Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kati Dunga.


No comments: