Tuesday, February 21, 2012

Makamu wa Kwanza wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad Akinywa Chai iliyotiwa Viungo Vilivyotengenezwa na Wajasiriamali

Makamu wa Kwanza wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akinywa chai iliyotiwa viungo vilivyotengenezwa na wajasiriamali wa kikundi cha Mkuaji, Mtoni, Zanzibar. Maalim Seif alifanya hivyo baada ya kuzindua kikundi cha wajasiriamali hao wanaotengeneza bidhaa mbalimbali.Picha na Mpigapicha Maalum


No comments: