Tuesday, February 7, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Ingunn Klepsivik, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 7, 2012 kwa mazungumzo.
(Picha na Muhidin Sufiani-OMR).

No comments: