Thursday, February 16, 2012

MAMA HUYU ANAHITAJI MSAADA WAKO WA HALI NA MALI

Baetrice Emanuel Kantimbo(48)mkazi wa kwembe kata ya Kibamba,jijini Dar es salaam anaomba msaada wa fedha za kumuwezesha kutibiwa mguu wake huko nchini India,kiasi cha milioni 45 zinahitajika.
Mguu huo una zaidi ya miaka 12 toka augue na hivi majuzi alifanyiwa upasuaji hospitali ya taifa muhimbili na kuondolewa nyama zilizooza.amepimwa hana kansa,kisukari wala shinikizo la damu.
kwa mawasiliano zaidi 0716 850 350 au 0767 850 351 kwa m-pesa au tigo pesa
Kutoka kwa

Happiness Mnale

No comments: