Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Uswiss nchini, Bw. Oliver Chave kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Feb.16,2012. |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Uswiss nchini Bw. Oliver Chave, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb. 16, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment