Monday, February 6, 2012

MKAMA NA MAKATIBU WAKUU WASTAAFU WA CCMKatibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akiwa na Makatibu wastaafu wa CCM, Yussuf Makamba na Philip Mangula kabla ya matembezi kuanza Katika sherehe za miaka 35 ya CCM yaliyofanyika jana Katika Kiwanja Cha CCM Kirumba Mwanza.

No comments: