Saturday, February 11, 2012

Veronica Lawrence, mama wa mtoto wa miezi mitano, Suleiman Abdallah, akionesha utumbo wa mwanawe uliotokeza nje akiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam Ijumaa
Veronica
Lawrence, mama wa mtoto wa miezi mitano, Suleiman Abdallah, akionesha
utumbo wa mwanawe uliotokeza nje akiwa
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam Ijumaa kufuatilia
matibabu. Tundu hilo ndipo inapotokea haja kubwa ikichanganyika na damu
na alishawahi kulazwa hospitalini hapo kwa takribani miezi miwili na
bado hajapata nafuu. (Picha na Mohamed Mambo).


No comments: