Thursday, February 23, 2012

WAZIRI MKUU PINDA ALIPO KUWA ZIALANI MEATU


Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina iko katika hatari ya kuvunjwa kwa vile imejengwa kwenye eneo la akiba la barabara. Picha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyeshwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga alama inayoonyesha sehemu ya ukuta wa ofisi hiyo unatakiwa kuvunjwa. Nyumba hiyo imejengwa kwenye kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa Biashara wa Wilaya ya Bariadi, Leonard Batigashaga akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Febeuari 22, 2012. Kulia ni Mkewe Tunu.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akialimana na Wananchi wa na viongozi wa wilaya ya Meatu baada ya kuwasili katika kijiji cha Mwandoya akiwa katika ziara ya Mkoa wa Shinyanga Februari 22, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga na wapili kushotoni Mkuu wa Wilaya ya Meatu Abihudi Saideya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: