Monday, February 27, 2012

Waziri wa Afya apokea vifaa vya matibabu kutoka shirika la Merck la nchini ujerumani leo

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Hajji Mponda akizungumza na waandishi wa habari waliofika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya matibabu kutoka MERCK ambalo Shirika la Kimataifa la Madawa na Kemikali la nchini Ujerumani.
Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania,Klaus-Peter Brandes akifafanya jambo leo mbele ya waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya matibabu kutoka MERCK ambalo Shirika la Kimataifa la Madawa na Kemikali la nchini Ujerumani,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Afya,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Hajji Mponda.
Mwenyekiti wa Bodi ya MERCK ambalo Shirika la Kimataifa la Madawa na Kemikali la nchini Ujerumani,Dkt. Karl-Ludwig Kley akionyesha kitabu cha hadithi ya mtoto aliepatwa na ugonjwa wa Kichocho wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya matibabu kutoka Shirika hilo la nchini Ujerumani,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Afya,jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Balozi wa Ujerumani Nchini,Klaus-Peter Brandes
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Hajji Mponda (kushoto) akipokea sehemu ya vifaa vya matibabu kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya MERCK ambalo Shirika la Kimataifa la Madawa na Kemikali la nchini Ujerumani,Dkt. Karl-Ludwig Kley.katikati ni Balozi wa Ujerumani Nchini,Klaus-Peter Brandes
Picha ya Pamoja.

No comments: