Monday, March 12, 2012

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano Samia Suluhu Hasani Ziarani Pemba

Waziri
Wa Nnchi Ofisi Makamo  ya Rais Mungano Samia Suluhu Hasani  akipata
maelezo kutoka kwa Bw Daudi ismail  mkazi wa Wawi juu ya Bwawa la
Umwagiliaji Maji katika Mashamba ya Dobi Wawi alipofika kutembelea mradi
huo ambao unafadhiliwa na mfuko wa  Maendeleo ya Jamii Tasaf alipofika
kukagua Ujenzi huo.
WAZIRI
wa Nchi Ofisi  ya Makamo wa Rais Muungano Samia Suluhu Hasani apita
Maelezo juu ya ufugaji wa Nyuki kutoka kwa katibu wa kikundi cha ushika
cha kibokoni bw  khamis suleiman alipotembelea kikundi hicho
kinachofadhiliwa na mfuko wa maedeleo ya jamii Tasaf pemba, wakatikati
ni Mkuu wa walaya chake chake Mwanajuma Majid .
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Muungano akipata Maelezo kutoka kwa Bw khamis
feiz wakati akitembelea Ujenzi wa Barabara ya Ndugunkitu Mkoroshoni
Inayofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tasaf.Picha na  Ali Meja 
-- 
Mfuko
wa maendeleo  ya jamii TASAF umetumia jumla ya shilling bilon TANO
kisiwani pemba tokea mwaka 2006 katika miradi mbali mbali ya maendeleo .Hayo yamebainishwa na maratibu wa mfuko wa TASAF pemba bwana ISA JUMA
 ALI  alipokuwa akitoa  maelezowa waziri wa nchi ofisi ya makamo  wa
 rais muungano mh Samia Suluhu hasani  katika ziara maalumu kisiwani
pemba katika kukagua miradi mbambali ya maendeleo .Waziri Samia yupo kisiwani pemba kwa zira ya siku tano    kujioneshughuli mbali mbali za maendeleo ktika maeneo  mbali mbali.

Akitoa mchanaganuoa wa matumizi ya miradi ya TASAF unaofadhili wa na
serikali ya jamuhuri ya muungano , amesema kuwa katika maradi huo awamu
ya pili wamefanikiwa zaidi ya miradi 347 imepataufadhili wa jumla ya
shilling 5,544,696,611.Miongoni mwa miradi ambayo imetembewa jana ni pamoja na mradi wa ufugaji
nyuki kibokoni  ambao umefadhiliwa jumla ya shilling million kumi hadi
sasa .Pia takatika zira hiyo mradi wa umwagiliaji maji wa DOBI WAWI ambao
umepatiwa ufadhili wa jumla ya milon 39,947,710, ambao utwanufaisha
jumla ya wananchi elfu mbili utakapo malizika .Katika ziara hiyo  mradi wa ujenzi wa barabara  ya machomane ndugunkitu
kupitia mkoroshoni mbao naopia umejegwa kwa hisani ya mfukowa maendeleo
ya jamii wametakiwa kuwa makini na utunza wa miradi huyo ambao kipindi
hiki cha mvua huwa ni matatizo makubwa hasa kwa mkukos misimamizi na
kusababisha haribika haraka .

Wakati wa machana mh waziri wa nchi ofisi ya rais muungano alitmbelea
katika soko la samaki liliopo wesha katika wilaya ya chake chake na
kuwataka walengwa wa mradi huo kudhamini vizuri sana .


Nae kwa upande wake sheha wa shehia hiyo amemwahidi mh Samia kuwa hii
ndio nafsi pekee kwao kujikomboa hivyo watalitunza soko hilo kama mboni
ya jicho lao .
Aidha waziri huyo wa muungano yupo kiswani pemba kwa ziara za siku tano
katika mikoa miwili pemba ambapo atatembelea miradi mbali mbali katika
kuhakikisha miradi inayofadhiliwa na serikali inatoa faida kubwa sana
kwa maslahi ya wananchi kwa umjumla .

No comments: