Monday, March 12, 2012

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa akabidhi zawadi kwa washindi wa Tabora Marathon 2012

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Fatma Mwasa akizungumza katika hafla ya utoaji zawadi kwa washindi wa Tabora Marathon zilizofanyika jana mjini humo.
Mshauri wa Ufundi wa Tabora Marathon Tullo Chambo kulia, akishiriki mbio hizo jana mjini Tabora.
Baadhi ya pikipiki za wasindikizaji wa Mbio za Tabora Marathon zikiwa tayari kwa zoezi hilo jana mjini humo.
Baadhi ya washindi wa mbio za Tabora Marathon wakiwa kwenye picha ya pamoja na waratibu wa mbio hizo.

No comments: