Thursday, March 15, 2012

Ziara ya Mh, Samia Kisiwani Pemba yaendeleaWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassani akionyesha Bwawa wakati wa ukaguzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) huko Chambani Kisiwani Pemba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassani akivuka Mtaro wakati wa ukaguzi wa Ufugaji wa Samaki unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) huko Chambani katika Ushirika wa kwa dawa kichimba chambani kisiwani Pemba.
Bi Amina Khamis ambaye ni mfanya biashara ndogo ndogo katika Soko la mbogamboga liliopo Wawi,Akimpa Maelezo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mungano,Mh. Samia Suluhu Hassani kuhusu hali ya biashara katika soko hilo lililojegwa kwa ufadhili wa TASAF.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassani akipata maelezo kutoka kwa Afisa mipango wa wilaya ya mkoani,Bw.  Amour juu ya mradi wa usambazaji umeme huko magomba katika jimbo la Mkanyageni mkoa kusini Pemba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassani akizunguza jambo na Mbunge wa Jimbo la Mkanyageni,Mh. Habib Juma Mnyaa mara baada ya kumaliza kuangalia usambaji wa umeme katika vijiji vya jimbo hilo ambao Umefadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo (CDCF).
Picha na Ali Meja.

No comments: