Thursday, March 15, 2012

CCM YAENDELEA NA KAMPENI MJI MDOGO WA MBUGUNI HUKO ARUMERUMratibu
wa kampeni za CCM Arumeru Mashariki, Mwigulu Nchemba akihutubia maelfu
ya wananchi katika mkutano uliofanyika mji mdogo wa Mbuguni, Kata ya
Mbuguni, Arumeru Mshariki jana.
Mwigulu
akimnadi mgombea ubunge wa CCM, Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni
uliofanyika jana mji mdogo wa Mbuguni Kata ya Mbuguni, Arumeru Mshariki.
Mgombea
wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiomba kura mamia ya
wananchi waliohudhutria mkutano wa kampeni za CCM katika mji mdogo wa
Mbuguni, Kata ya Mbuguni.

(Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments: