Thursday, April 12, 2012

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Akutana na Senata James Inhofe wa Oklahoma,Marekani

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Senata James Inhofe wa Oklahoma,Marekani wakati seneta huyo na ujumbe wake walipomtembelea ikulu jijini Dar Es Salaam na kufanya mazungumzo naye.
Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments: