Bondia Tomasi Mashari akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na Selemani Galile kesho.
Bondia Tomasi Mashari kushoto na Selemani Galile wakiwa wameshikilia mkanda wa upingwa wa taifa utakaofanyika kesho katikati ni promota wa mpambano huo Prospa Rweimamu.
Picha na super d coach
No comments:
Post a Comment