Sunday, April 8, 2012

Tamasha la Pasaka Uwamja wa Taifa Jijini Dar jioni hii

 Msanii wa muziki wa injili, Rose Muhando akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kutumbuiza katika Tamasha la Pasaka linaloendelea sasa.
 Sehemu ya watu wakishuhudia Tamasha la Pasaka,
                                   Msanii Tumain John akifanya vitu vyake katika tamasha la Pasaka
 Mwalyambi kutoka Sumbawanga, akionesha manjonjo yake katika tamasha hili la kukata na shoka
 Msanii wa Muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope (katikati), akiwa upande wa vyombo vya muziki kuweka mambo sawa muda mfupi kabla ya kupanda jukwaani.
                                                          Kundi la msanii John Lisu likitumbuiza
                     Ni furaha tele kwa kila mtu. 
PICHA ZOTE NA MDAU MWAIKENDA

No comments: