Monday, April 9, 2012

Mama Salma Kikwete ahani Msiba wa Steven Kanumba Jioni ya leo

 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akikumbatiana na Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba wakati alipofika nyumbani hapo kwa ajili ya kuhani msiba huo,jioni ya leo.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba,Nyumbani kwa Marehemu,Sinza Vatican jijini Dar jioni ya leo.Kushoto ni Dada wa Marehemu Steven Kanumba.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Picha kwa Hisani ya Issa Michuzi Blog

No comments: