Saturday, April 7, 2012

MANENO AU MATUMLA KUONDOKA NA NGAO YA PASAKA KESHO NDANI YA DAR LIVE

Katibu wa chama cha Masumbwi ya kulipwa nchini Antoni Rutta akiwainua mikono juu mabondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward kwa ajili ya mpambano wao wa kugombea Ngao ya Pasaka utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Dar live

Alphonce Mchumia tumbo akitamba

Mabondia wa kike wakitunishiana misuri kwa ajili ya kutambulisha mpambano wao kesho kushoto ni Jamhuri Saidi na Furaha Nganda baada ya kupima uzito leo katikati ni mratibu wa mchezo huo Kaike Siraju

Mabondia Rashidi Matumla na Maneno Osward waklitambiana leo kwa ajili ya mpambano wao kesho.

Bondia Furaha Nganda akipimwa presha na Dr. Donald Madono kwa ajili ya mpambano wake kesho.


Mchumia Tumbo kwenye pozi

Auniwezi ndio wanavyotambiana bondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward.

Wewe cha mtoto tuuu uniwezi ndivyo walivyokuwa wakipeanma mkwara mabondia wa kike kushoto ni Jamhuri Saidi na Furaha Nganda.

No comments: