Saturday, April 7, 2012

JUST IN:MAMA MZAZI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA AKIWA SAFARINI KUELEKEA DAR KWENYE MSIBA WA MWANAE...!!!Pichani ni Bi Flora Mtengoa, mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba ambaye ameondoka Bukoba san nane mchana kuelekea Dar es Salaam kwa ajili ya msiba wa mwanae
Mama yake ameongea na mwana libeneke Nicolaus Ngaiza na kuthibitisha kupokea taarifa za kifo cha mwanae na akasema kuwa jana alipigiwa simu na marehemu akimwambia kuwa " mama nimekutumia nauli uje Dar tuagane nataka kwenda Marekani."

Picha na habari kwa hisani ya kandayaziwaleo.blogspotNo comments: