Monday, April 2, 2012

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Mtendaji mkuu wa Commonwealth Partnership for Technology Management(CPTM) Dk.Mihaela Smith ikulu Jijini Dar es SalaamRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Commonwealth Partnership for Technology Management(CPTM),London,Dkt.Mihaela Smith ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments: