Mh. Leticia Nyerere (Mbuge Viti Maalum) CHADEMA. |
NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUKANUSHA VIKALI TAARIFA ILIYOSAMBAZWA KUPITIA JAMII FORUMS KWAMBA MH LETICIA NYERERE AMEKAMATWA. KWA KWELI HIZI TAARIFA SI ZA KWELI. NI ZA UZUSHI NA KUTAKA KUCHAFUANA. TUNALAANI VIKALI KWA MTU YEYOTE ALIYEHUSIKA NA KUENEZA TAARIFA HIZI ZA KIZUSHI ZISIZOKUWA NA MSINGI WOWOTE.
No comments:
Post a Comment