Sunday, August 14, 2011

BENKI YA KCB TANZANIA YAWAAGA WAKURUGENZI WAKE KWA BONGE LA PARTY


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania, Edmund Mndolwa, akimkabidhi zawadi ya mchoro wa Gofu la mji wa Zanzibar Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KCB Kenya, Peter Muthoka, wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya Wakurugenzi wa benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa KCB Tanzania, Christine Manyenye, akielezea moja ya zawadi ambayo alikabidhiwa mmoja ya Wakurugenzi wa benki hiyo wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya wakurugenzi wa benki jijini Dar es Salaam.
Wenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania akiwa na Baadhi ya Wakurugenzi wa benki hiyo katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya wakurugenzi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KCB Kenya, Peter Muthoka (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KCB Tanzania, Edmund Mndolwa na Mkurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania, Joram Kiarie, wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya Wakurugenzi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam.

No comments: