Sunday, August 14, 2011

Pinda Akutana Na Balozi Wa Marekani Nchini

Wazii mkuu Mizengo Pinda, akiagana na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, baada ya mazungumzo ya kikazi yaliyofanyika ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma mapema jana.

No comments: