Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa Dkt. Asha Rose Migiro na Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh. Sophia Simba wakipongezana mara baada ya kuzindua rasmi RIPOTI YA UTAFITI NA MPANGO WA KITAIFA WA KUSHUGHULIKIA 'UKATILI KWA WATOTO' NA MPANGO WA UDHIBITI WA TAIFA.
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr. Asha Rose Migiro akizungumzia umuhimu wa Taifa kusimamia haki ya mtoto ya kuishi kwa amani na furaha bila kufanyiwa Ukatili wa aina yoyote katika Kilele cha uzinduzi wa ripoti ya Utafiti na Mpango wa Kitaifa wa kushughulikia “Ukatili kwa Watoto” na mpango wa Udhibiti wa Taifa.
Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Umoja Mataifa Dr. Asha Rose Migiro, wa pili kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh. Sophia Simba, wa kwanza kushoto Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Dr. Shukuru Kawambwa, wa Pili Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI (Elimu) Mh. Majaliwa Majaaliwa na wa Kwanza Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Haji Mponda kwa pamoja wakikaribisha maandamano yaliyokuwa yakiingia katika viwanja vya Karimjee
baadhi ya Mabalozi na watu mbalimbali waliofika kushuhudia uzinduzi wa ripoti ya Utafiti na Mpango wa Kitaifa wa kushughulikia “Ukatili kwa Watoto” na mpango wa Udhibiti wa Taifa.
Watoto wa Shule mbalimbali za msingi wakiwa kwenye maandamano katika sherehe za uzinduzi wa ripoti ya Utafiti na Mpango wa Kitaifa wa kushughulikia “Ukatili kwa Watoto” na mpango wa Udhibiti wa Taifa
.Picha kwa hisani ya Mo Blog

No comments:
Post a Comment