Mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa Iran, Morteza Sabouri, akifafanua jambo kuhusu mwingiliano wa sheria za Kiislamu na mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu haki za binadau alipozungumza na waandishi wa habari leo asubuhi ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Sabouri aliseam kuwa kuna msigishano mkubwa kati a sheria za Kiislamu na Mkataba wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataiafa. Alitolea mfano kuwa, kwa sheria za Kiislamu mtu alieuwa naye sheria utamka wazi kuwa auwawe, ikiwa haki za binadamu hazikubaliani na sheria hyo.Hivyo huonekana kuwa nchi za kiislamu znazofuta sheria hiyo kuwa zinavunja haki za binadamu.
Waandishi wa habari´wakiwa katika mkutano huo. Picha zote na Victor Makinda
No comments:
Post a Comment