Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha Eva Varelian (kushoto) na Alice Kihiyo (kulia) wakimhudumia mteja leo mjini Dodoma wakati wa maonyesho ya nane nane yanayoendelea .
Afisa katika kitengo cha bajeti cha Wizara ya Fedha Adamu Msumule akitoa maelezo leo mjini Dodoma juu ya vipaumbele vya bajeti ya mwaka huu katika maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea .
oa Onni Sigara(katikati) na Adamu Msumule(kushoto) wakati wa maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma. kwa mwananchi katika banda la Wizara ya Fedha juu ya muhimu wa mfuko huo katika maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma .
Picha Kwa Hisani Ya John Bukuku - Full Shangwe Blogu

No comments:
Post a Comment