Thursday, September 15, 2011

10 wafariki katika ajali ya basi maeneo ya Mwidu, Ubena Zomozi

Watu 10 wamefariki papo hapo baada ya basi la Grazia lililokua likitoka Njombe kwenda Dar es Salaam kupinduka eneo la Mwidu jana jioni, karibu na Ubena Zomozi, kilometa chache kufika Chalinze, kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Afande Mbaga.
Baadhi ya maiti wakiwekwa garini
Wananchi wakishuhudia
Basi la Grazia likiwa limepinduka hapo Mwidu
Picha na Mdau George

No comments: