Wednesday, September 28, 2011

Balozi wa Vatican nchini Tanzania amuaga rais wa Zanzibar baada ya kumaliza muda wake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania,Joseph Chenoth,aliyefika ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais kwa kumaliza muda wake wa kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania,Joseph Chenoth,aliyefika ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais kwa kumaliza muda wake wa kazi,baada ya mazungumzo yao.
PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU.

No comments: