Friday, September 16, 2011

Chadema Wanaendelea na Kampeni igunga



Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kinungu, katika mkutano wa kampeni za ubunge wa jimbo la Igunga jana.
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Sylvester Kasulumbai akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kinungu, ikiwa ni sehemu wa kampeni za ubunge wa jimbo la Igunga jana.

No comments: