Friday, September 16, 2011

Wakurugenzi Kampuni ya Etisalat wampa pole Rais Dr. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Etisalat Essa Alhhaddad,akiongoza ujumbe wa bodi hiyo walipofika Ikulu mjini zanzibar kumpa pole Rais, kutokana na ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Spice Islanders, iliyokuwa ikielekeakisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Etisalat, walipofika Ikulu mjini zanzibar kumpa pole Rais, kutokana na ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Spice Islanders, iliyokuwa ikielekea kisiwani Pemba.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments: