Saturday, September 10, 2011

DR. JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAJERUHI NA KUJIONEA MIILI YA WATOTO WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI NUNGWI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho kikwete,akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,walifika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kuona maiti mbali mbali zilizofariki katika tukio la ajali Meli ya Mv Spice Islander,iliyozama katika bahari ya Nungwi Mkoa wa kaskazini ikielekea Pemba.


Picha na Ramadhan Othman IKulu.

No comments: