| Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za kuwaapisha wakuu wa mikoa zilizofanyika ikulu jijini Dar es salaam Septemba 16,2011. |
| Rais JakayaKikwete akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za kuwaapisha wakuu wa mikoa zilizofanyika ikulu Jijini Dar es salaam Septemba 16,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment