
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama Kikwete akiwaonesha Maazimio ya mkutano wa chama cha wabunge wananwake wa Jumuiya ya Madoloa CWP kanda ya Afrka Mashariki mara baada ya kumkabidhi jana Ofisini kwake. Wajumbe wa CWP walifanya ziara katika Ofisi za WAMA kwa lengo la kusalimiana na Mama Salma Kikwete

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wake aliowafundisha shule ya msingi Mbuyuni Mhe. Muhonga Ruhwanya mara baada ya wabunge hao ambao ni wanachama wa CWP kufanya ziara yao WAMA jana. Mhe. Muhonga hivi sasa ni Mbunge wa Viti maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akinongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea taarifa ya mpango mkakati wa wanachama wa CWP kanda ndogo ya Afrika Mashariki kutoka kwa Mwenyekiti wake Beatrice Shelukindo ambaye pia ni mbunge wa Kilindi mkoa wa Tanga kupitia chama cha mapinduzi (CCM),
Mjumbe wa chama cha wabunge wananwake wa Jumuiya ya Madoloa CWP kanda ya Afrka Mashariki Mhe. Beatrice Shelukindo akimkabidhi Mpango mkakati wa Miaka 5 na Maazimio ya mkutano wa CWP Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama Kikwete walipomtembelea jana Ofisini kwake.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama Kikwete akizungumza na wajumbe wa chama cha wabunge wananwake wa Jumuiya ya Madoloa CWP kanda ya Afrka Mashariki waliofanya ziara Ofisini kwake mara baada ya Kumaliza mkutano wao wa siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Ujumbe wa CWP kanda ndogo ya Afrika Mashariki ukiwa katika picha ya pamoja na Mama Salma Kikwete mara baada ya Kumtembelea jana.
Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO
Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO
No comments:
Post a Comment