Tuesday, September 20, 2011

Wanacha wa Chadema Mkoani Arusha wakiwa katika Maandamano

Wanachama wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa katika maandamano na Mbunge wao wa jimbo la Arusha mjini,Godbres Lem mara baada ya kesi iliyokuwa ikiwakabili madiwani wa chama hicho waliofukuzwa uwanachama kumalizika na kufutiliwa mbali
(picha na Woinde Shizza,Arusha)

No comments: