
Wagombea Ubunge jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu -CCM (kijanai), Joseph Kashindye -CHADEMA (kaki) na Leopold Mahona-CUF (Bluu) wakipongezana baada ya mdahalo wao uliofanyika usiku wa kuamkia jana mjini Igunga.

Wananchi wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Steven Wasira alipokuwa akimtambulisha mgombea wa Ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Ipumbulya Kata ya Bukoko, Igunga mkoani Tabora,jana.
Picha naBashir Nkoromo.
Picha naBashir Nkoromo.
No comments:
Post a Comment