
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CC (NEC)ambaye pia ni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde akimuonyesha afisa wa polisi kioo cha nyuma cha gari aina ya Toyota Prado T 888 ALL lililorushiwa mawe jana katika kijiji cha Nkinga kati na vijana wanaodhaniwa ni wafuasi wa Chadema.
Picha na Daniel Mjema
No comments:
Post a Comment