Friday, October 28, 2011

Ajali Ya Roli La Mizigo Mlima Kitonga leo

Gari lenye no za usajili T 665 AMV,Limepata ajali eneo la mlima kitonga Iringa,na dereva wa gari hilo bw bonventura simo anayeishi mwananyamala amepata majeraha makali na maumivu ya ndani kwa ndani ambapo kwa sasa yupo hospitali ya ilula Lutheran.ambapo pia kondakta wa gari hiloalikimbia baada ya kiwewe na ajali hiyo

No comments: