Friday, October 21, 2011

Breaking Nuuuuuuz: Kuna ndege imeanguka jana Kilometa 15 baada ya Kuondoka KIA

Picha ya ndege iliyo dondoka jana usiku habari zaidi Baadae

Katika hali isiyo ya kawaida Jana usiku kulitokea na Ajali ya Ndege ambayo ilisababisha Kifo cha Pilot wa ndege hiyo na Abiria mmoja ambae yupo mahututi sasa katika Hospitali ya KCMC Marehemu ambae amefariki katika ajali Hiyo anaitwa Ally ... Habari zaidi baadae

1 comment:

mapinduzi halisi said...

Jina La Pilot Kamili anaitwa ALLy HAROUN,Rest in peace brother