Friday, October 21, 2011

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Atinga Hifadhi ya Taifa ya Katavi






Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Tembo wakati aliposimama kwa muda kwenye Lodge ya Katuma Bush katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda wakati alipoitembelea kukagua athari za kiangazi kwenye Hifadhi hiyo Oktoba 20,2011.








Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama viboko waliosongamana kwenye tope baada ya mabwa na mito kukauka kutokana na Kiangazi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi Wilayani Mpanda Oktoba 20,2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


No comments: