Picha ya ndege iliyo dondoka jana usiku habari zaidi Baadae
Katika hali isiyo ya kawaida Jana usiku kulitokea na Ajali ya Ndege ambayo ilisababisha Kifo cha Pilot wa ndege hiyo na Abiria mmoja ambae yupo mahututi sasa katika Hospitali ya KCMC Marehemu ambae amefariki katika ajali Hiyo anaitwa Ally ... Habari zaidi baadae
1 comment:
Jina La Pilot Kamili anaitwa ALLy HAROUN,Rest in peace brother
Post a Comment