
Baadhi ya wanafunzi bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika hafla ya kuwapongeza kutokana na kufaulu vizuri katika mitihani yao,huko Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar
No comments:
Post a Comment